Dukamakini, inakuwezesha ku rekodi taarifa za bidhaa, mauzo, mzigo, matumizi, madeni nk. kwa urahisi na kukuwezesha kupata taarifa hizo popote ulipo kupitia simu yako.